Psalms 8:6-8


6 aUmemfanya mtawala juu ya kazi za mikono yako;
umeweka vitu vyote chini ya miguu yake.

7 bMifugo na makundi yote pia,
naam, na wanyama wa kondeni,

8 cndege wa angani na samaki wa baharini,
naam, kila kiogeleacho katika njia za bahari.

Copyright information for SwhKC